Translations Suras
KISWAHILI

114 - ANNAS

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.

 
1Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,
 
2Mfalme wa wanaadamu,
 
3Mungu wa wanaadamu,
 
4Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas,
 
5Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu,
 
6Kutokana na majini na wanaadamu.
 
 
ReadTheQuran.org