| Translations | Suras |
| KISWAHILI | |
113 - AL - FALAQ | |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. | |
| 1 | Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko, |
| 2 | Na shari ya alivyo viumba, |
| 3 | Na shari ya giza la usiku liingiapo, |
| 4 | Na shari ya wanao pulizia mafundoni, |
| 5 | Na shari ya hasidi anapo husudu. |
| ReadTheQuran.org | |