| Translations | Suras |
| KISWAHILI | |
110 - ANNAS'R | |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. | |
| 1 | Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, |
| 2 | Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, |
| 3 | Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba. |
| ReadTheQuran.org | |