| Translations | Suras |
| KISWAHILI | |
106 - QURAISH | |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. | |
| 1 | Kwa walivyo zoea Maqureshi, |
| 2 | Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto. |
| 3 | Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii, |
| 4 | Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu. |
| ReadTheQuran.org | |