Translations Suras
KISWAHILI

103 - AL - A'S'R

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.

 
1Naapa kwa Zama!
 
2Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,
 
3Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.
 
 
ReadTheQuran.org